Tangaza Biashara Yako Hapa

THIS BLOG IS SPONSORED BY WWW.BONGLOB.COM JOB &socialnetwork,THE LEADING NETWORK IN THE WORLD. FEEL FREE TO ADVERTISE HERE,Email:james@bonglob.com

Saturday, December 5, 2009

Nina VVU miaka 10 sasa



Da Lydia Rwechungura, mwanadada aliyeishi na VVU kwa miaka 10. Siri ya mafanikio yake ni Mungu, kuacha pombe, ngono zembe na anatimiza mashari yote anayoshauriwa. Mwaka juzi kajifungua mapacha wazima wa afya tele. Wao na baba yao hawana maambukizi.

1 comment:

Anonymous said...

Huyu dada, akakosea kitu!Akasema kumtegemea Mungu tu, akasahau kuhusu dawa za kupunguza makali ya Virusi vya UKIMWI.Kuacha kwake dawa hizo, kumesababisha kifo, kifo cha huzuni sana kwa watoto wake, ndugu za ke na rfiki zake.Mungu amlaze mahali pema peponi.Tuendelee kuhamasishana watu wasiache dawa, kama huyu dada jamani.Maana ilipofika tarehe 25.Julai.2012, aliiaga dunia, baada ya kudhoofika sana, kwa sababu ya kuacha dawa hizo za kupunguza makali ya virusi vya UKIMWI