Monday, April 25, 2011

Tupo Darasani....



Wanafunzi wa shule ya Msingi Kisasambambo, wakisomea chini ya mti hii ni baada ya kuwapisha walimu wao ambao wanaishi darasani kwa kukosa nyumba za kuishi.

No comments:

Post a Comment