Friday, February 12, 2010

MSIPITE BILA KUTULIPA...



Watoto wakitengeneza barabara inayoenda Mbuga za wanyama ya Ruaha ambao imejaa mashimo licha ya kuwa inategemewa kwa utalii. Hulipwa ujira wa sh 150 kwa kila gari linalopita

No comments:

Post a Comment