Shemasi Paul, Mkazi wa Pomerini, Kilolo alieamua kutembea peku peku tangu 1975 ili afanane na wananchi maskini. Kila mwaka anatumia 20, milioni kusomesha yatima, anawasaidia wajane na amejenga shule, hospitali na anatoa misaada kwa wenyeshida. Unaweza hii
No comments:
Post a Comment