Moja ya sababu za kuongezeka kwa maambukizi ya Ukimwi Iringa na ulevi wa pombe ya Ulanzi. Nilitembelea kilabu cha Pombe cha Igumbilo na kuhsuhudia jinsi pombe hiyo inavyobadili akili za watu! nakubaliana na hilo bwana Ulanzi na bwana Uzinzi wapo bega kwa bega, Kwa hali hii tutazidi kuonekana vishoka kwa kasi ya Ukiwmi...
No comments:
Post a Comment