Nikiwa katikati ya nguzo za asili zilizo katika eneo la Isimila, Mkoani Iringa. Eneo hilo lenye hifadhi inayoonyesha zama za mawe na nguzo za asili za Isimila katika Kijiji cha Ugwachanya, ni miongoni mwa vivutio vinavyoupamba Mkoa wa Iringa.
Zama hizo zinakadiriwa kuishi miaka 300,000 hadi 400,000 kabla ya Kristo, ziligunduliwa na wenyeji wa eneo hilo kabla ya kufanyika utafiti mwaka 1951.
No comments:
Post a Comment